My fellow Tanzanians mnaotukejeli, kutudhihaki, kutubeza na kutukebehi sisi tunaopambania haya mabadiliko!!
Plus wote mnaotaka kutuua, kutupiga, kututeka, kututesa na kutufunga sisi tunaopigania haya manadiliko!!
MNAKOSEA SANA MNAKOSEA MNO!!
Mnaweza msione umuhimu wa haya tunayoyapigania leo kwa sababu ya nafasi mlizoko sasa……..!!
Siku moja mtaona umuhimu wake na itakuwa too late…..mtatamani mngetuunga
mkono!!!
CHALAMILA STOP THAT!? NASISI HATUTABAKI KIMYA TENA INATOSHA SASA...
Mkumbusheni Albert Chalamila yeye ni mmoja wa wahalifu waliochochea vyombo vya dola kutumia nguvu zilizokithiri dhidi ya Raia. Aelewe kwamba hatutaendelea kuvumilia yeye kunyanyasa watu kwasababu tuu ni Mkuu wa Mkoa. TUTAMCHUKULIA HATUA RASMI YEYE BINAFSI NA WALE WOTE ANAO SHIRIKIANA NAO KUENDELEZA MATENDO YAKE YA UHALIFU DHIDI YA WATU WASIO NA HATIA.
Shambulio dhidi ya mmoja wetu tutachukua kuwa shambulia dhidi yetu sote.
Tunazo rekodi zako zote na Kauli zako zote za kabla ,wakati na punde Baada ya Uchaguzi na zote zinachochea au kushabikia mauaji ya kimbari
Huu ni wakati wa Sisi kujikana na kusimamam na Viongozi wanao jali maslahi ya Ummaa na kutetea Utawala Bora na Utawala wa sheria.
Kile kilichofanywa dhidi ya Tundu Antipass Lissu hatutaruhusu kufanyika dhidi ya Father Kitima.Abert Chalamila lazima uangalie kauli zako zinavuka mipaka na huna kinga ya kutochukuliwa hatua kwajina lako.
Nadhani tunatakiwa kuchora mstari sasa.
HATUTAVUMILIA TENA MASHAMBULIZI DHIDI YA WATU WEMA KWA KISINGIZIO CHA KUCHUKUA HATUA ZAKISHERIA.....INATOSHA SASA.
BAK MWABUKUSI.