@MayonLaizer@NgoshaKugema Changamoto kubwa nyingine ya wanaharakati wa kitanzania wa kileo ni upumbavu. Mtu anayeamini kwamba Marekani ni beacon ya demokrasia ni mpumbavu wa kutupa, ni ishara keamba hajui historia wala geopolitics.
@maxannania@samatimemagari Sababu kubwa ni uvivu wa kutanua wigo wa kodi. Magari yana inelastic demand ndio maana wana charge those ridiculous rates. Ni kama tu wanavyofanya kwenye bia na Sigara. Wanatumia public health arument but in essence wameshindwa kuja na vyanzo vipya vya mapato
@KennedyMmari@Ngailo@maxannania Watu hawaijui Marekani. Marekani ni Empire iliyoundwa kulinda interests za wenye mali - Bourgeoisies & Corporations. Interests za empire yoyote ni ku maintain hegemony, sio ku promote Welfare. Kumaintain Hegemony kuna husisha kunyonya, kuua, kuiba, kukalia kimabavu.
@EJ_Mwita@realDonaldTrump Kuna marekani za Aina 2. Ya CNN na BBC na Marekani halisi. Kuijua Marekani halisi Tafuta Documentary ya the Requiem for American Dream ya Chomsky. Tafuta Documentary inaitwa 13th. Hizi docs zinazungumzia uhalisia wa maisha ya wamarekani kijamii na kisiasa behind the camera.
@ufntc Kama ana capacity ya kutosheleza mahitaji aachiwe route afanye biashara.
Kama tunajali ajira za 5/5 then tusingeanzisha BRT on 1st place coz BRT na 5/5 haviwezi ku coexist, maboresho ya urban transport eventually lazima yahusishe ku-phaseout 5/5. #Regulation#Efficiency
@chief_mpyana@ayubu_madenge China ni muumini na balozi mzuri wa sera ya non interference. Na hilo limeiepusha dunia na matatizo makubwa. Sio udhaifu, ana practice kinachoitwa Restraint..
@SnakeWaBarca@bonifacejoseph_@Eric__Bernard Umenena vema. Kama Uhai ni muhimu kuliko mali auze mali zake akachangie matibabu ya wagonjwa Muhimbili aokoe maisha. Kwa mtu maskini, asiyejua uchungu wa mali lazima atamchukia mwenye nacho na kufurahia akipatwa ma madhila. Kwasababu faraja ya maskini ni kuona kila mtu ni maskini
@bonifacejoseph_@Eric__Bernard Kituo cha mafuta, majengo, magari na mali nyinginezo hazina thamani sawa na uhai wa binadamu. Lakini huwezi kutumia hoja hiyo kuhalalisha uharibifu wa mali. Kila kitu kina nafasi yake na umuhimu wake.
@22yuzarsif@MafundaLewa@Eric__Bernard@HecheJohn Wewe ni mfano halisi wa vijana wanaosema wameamka wako mstari wa mbele wanataka kubadilisha mustakabali wa nchi - zana wanayotumia? Matusi na Kebehi, sio nguvu ya hoja. Mabadiliko yanataka nidhamu. Kitu pekee kinachoyapa uhalali na utimilifu mabadiliko ni nidhamu ya washiriki.
@lukalijr@LushingeJnr@Mwitah_tz Kilichotokea October 29 sio demonstration ya Will of the people. Ingekuwa demonstration ya will then same thing would have happened on D9 & 25. WILL indicates a tipping point, a point of no return, ambapo watu wamechoka kiasi kwamba hawaogopi risasi au mabomu.
@lukalijr@LushingeJnr@Mwitah_tz Kilichoongezeka ni kwamba;
Harakati zimegeuka kuwa biashara. Primary motive ni ku-push narratives zinazolenga maslahi ya mabeberuy. Wanaharakati wanatumia local agenda but in a grand scheme of things lengo ni ku pave way ya ku advance na kulinda maslahi ya mabeberu.
@tazamaMbali @Gogoryoking Moja kati ya mataifa yaliyopiga kura ya Tanzania kuchukuliwa hatua ni Belgium. Btn 1880s & 1900s Wabelgiji waliua Waarika 10m pale Congo. Hutu & tutsi waliuana kwasab ya Mbelgiji. Huo ni Mfano wa taifa moja. Wazungu wote wamejaa damu za waafrika mikononi mwao.