@AM_NIC3 Samahani mimi ni kijana wa Kisukuma kwetu Maswa, Simiyu kwa sasa najishushughulisha na shughuli zangu Arusha.
Naomba kutengeneza maisha na wewe.!
@RKishaija81715 Kama Taifa tujisahihishe kwanza tukiri bila CCM Nchi itayumba then ndio tunaweza kusonga. Sio kwa hii staili saizi 😁😁😁habari za umbea wanaharakati na wapinzani wanahamishia mjadala huko mazima mazima.
Utawala dhalimu wa damu, mmeua maelfu ya watu kujitangaza bila ridhaa ya umma..
Mmeteka na Mnateka watu ili kuwajaza watu hofu..
Mnawategea wengine sumu ili kuwaua na kumaliza kila anaewakosoa..
Ushirika wa kidhalimu huwa haudumu, hakuna mwenye unafuu miongoni mwenu…
Wote mmekalia viti vya damu na vyeo vya uongo…
Damu ya Watanzania itaendelea kuwanenea kila baya nyie na familia zenu.
Ni muhimu mmeanza kumalizana, kama boss anaweza kutuma mtu kuita msaidizi wake majina (YUDA)
Watanzania tutashinda vita hii, hakuna mwenye nafuu ccm wote ni walewale.