Na vijana sababu naona mnazeeka,kuna mambo unafaa kuwa unajua kabla uamue kuleta mwanamke kwa nyumba yako ati mnakaa nayeye. Kitu ya kwanza na ya muhimu ni usiwahi hamia kwa mwanamke,ati sasa mmeamua uuze vitu yako uhamie kwake juu kwake ni karibu na mahali anafanya kazi. These people are not yet,mentally equiped fully to have a man living under their roof. Ata ikue ni wewe unalipa rent,lakini ulihamia kwa mwanamke,siku ya kufukuzwa huwa unafukuzwa kama mende
Na wanawake hawananga huruma aki,unajua heri sisi wanaume unapiganga hesabu unaona huyu hana mahali ya kwenda nikimfukuza,mwanamke anakuekeanga tunguo yako kwa gunia bwana,unarudi jioni unashangaa kwani amechukua bale gikomba? Kumbe ni manguo yako amejaza yote hapo mpaka mablanketi yako ulitoka nayo boarding school. Alafu anakwambia “Steve I cant do this anymore,get out”
Woi woi woi! Saa tatu usiku unaenda wapi na bale yako ya mtumba? Mwanaume kaa kwako! Ata kama uko na matress pekee,ni yako. Hapo hakuna mtu atakufukuza. After Uliam Ruto, Fear this gender next! Khabusie!