@TBoundBuses Kuna basi moja hopeless kabisa walifanyia hii kitu pasaka linaitwa NEW SONGO.
Nilikata ticket online, siku ya safari nimepiga namba yao mapema, wakasema watanipigia simu... Kimya. Na bus namba ya kwenye ticket ni tofauti na basi lililopita meaning walibadilisha bus juu kwa juu.