@Amidumtalii@Innocen89950594 Kaka ndo nilichokua nawaza hapa yani tunawabeba sana hawa wanawake kama angekua anapigwa yeye hapo usingeona wamesimama na kuwatazama
@FabrizioRomano@msalvanes_ They are there to fight against barcelona and real madrid as their major achievement but not running for tittle wait and see even in UEFA they will loose again๐
@sportshqtz@SportsarenatzTz Yani mfanyakazi kaona kaanguka kwenye kibarua cha kwanza kwenye taasisi kubwa hafu kapata kazi taasisi nyingine kubwa kwa nini asifanye kazi kwa bidii Huyu jamaa jau sana
@Sativa255 Kaka mda mwingine achana nao hawa watu usiwajibu unawapa airtime we leta maelekezo na code turuke nayo tu leo ni odds 73 โ mpaka kesho
(@kiberenge)
@killo_killo11 Kuna mchizi tulisoma nae shule ya msingi alikua akija anafunga sweta kiunoni kama brucelee na kila mda utamwona anarusha mateke ya kuzunguka alikua anapenda sana shari mda wote kuna siku aliingia cha kike kwenye mpira akamchezea rafu jamaa oyah ilibaki story
@BlackSingapore2 Unajua hivi vitu vya kuhusu dini ni debate ya ajabu sana hizi dini zote zililetwa na wageni ndo walichokua wanakiamini huko kwao sisi tulikua na mizimu na miti leo hii ulichorithishwa na wageni umekifanya ni chako na kudharau wengine walichorithishwa na kukiamin