Mjadala kuhusu dhana ya uanaharakati na nafasi yake katika historia na ustawi wa taifa la Tanzania unazidi kutawala katika majukwaa mbalimbali ikiwamo yale ya mitandao ya kijamii, kutokana na kauli iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan Julai 9, 2026, visiwani Zanzibar, wakati wa hafla ya utiaji saini mkataba wa maridhiano ya kisiasa kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na ACT Wazalendo.
Katika hotuba hiyo, Dkt. Samia ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa aliwaonya โwatu wanaojivika mwavuli wa uanaharakatiโ ili kupata umaarufu wa kimataifa, huku nyuma ya pazia wakisukumwa na maslahi binafsi na vitendo vyenye viashiria vya kigaidi vilivyojificha kwenye sura ya uzalendo. Rais alisisitiza kuwa serikali haitafanya mzaha na vitendo vyote vya kigaidi na akawataka Watanzania kushikamana kwa ajili ya maendeleo badala ya kufuata makundi yenye ajenda zilizofichika.
Katika kile ambacho kimeelezwa kuwa mwendelezo wa utoaji maoni juu ya kauli ya Dkt. Samia, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza kupitia ukurasa wa Facebook amekumbusha kuwa herufi โMโ katika jina la CCM inasimama badala ya "Mapinduzi," ambayo amesema kimsingi ndiyo kilele cha juu kabisa cha uanaharakati. Askofu Bagonza amefafanua kuwa chama tawala ndicho chimbuko kuu la harakati nchini, akitolea mfano hatua ya TANU kujitenga na starehe za chama cha kijamii cha TAA ili kupigania uhuru, pamoja na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya mwaka 1964 chini ya ASP yaliyoleta ukombozi wa kweli.
โMwaka 1967, TANU ilizindua Azimio la Arusha baada ya kukiri kuwa โtumenyonywa vya kutosha na sasa tunataka mapinduzi ili tusinyonywe tenaโ. Azimio la Arusha lilipindua meza na kuwafanya watwana kuwa mabwana. Hizo ni harakati. Mwaka 1977, TANU na ASP viliungana na kuunda CCM. Chama chenye historia ya kumwaga damu (ASP) kikaungana na chama chenye historia ya kudai haki kwa fikra kali na pevu (TANU). โMapinduziโ ilikuwa ni alama wazi iliyowakilishwa na jembe na nyundo katika utambulisho wake. Ni harakati badoโ, ameandika Dkt. Bagonza.
Kiongozi huyo wa kiroho amesisitiza kuwa chini ya mifumo ya asili ya TANU na CCM, ulinzi wa taifa ulikuwa mikononi mwa wananchi wenyewe, na vyombo vya dola vilitazamwa kama watumishi wa umma na sio zana za kukandamiza wanyonge kama inavyotazamwa sasa na baadhi ya Watanzania.
โKimsingi, CCM ndiye baba wa harakati, nguzo ya haki na mpinga dhuluma popote duniani. Isimame ihesabiwe na isiwaache wapinzani kujitwalia utukufu kwa tunu za CCM. Yaliyotupata yote ni kwasababu tumeacha na kubeza harakati. Taifa lisilo na harakati ni sawa na pango la wanyangโanyi. Wanyonge ni kitoweo cha wenye nguvu. Taifa linajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno. Shangingi la Kijaluo linaimba, โUkitoka na mume wangu, napita na baba yako ili uniite mama yako na mimi nikuite mke mwenza. Mama mkwe akikuzingua, mzingue binti yake mtaheshimianaโโ, amehitimisha Dkt. Bagonza.
Ahmed Ally ๐ฃ๏ธ
" Mchezaji anayefuata kutambulishwa leo Simba tulikua tunamsuburi atoke world Cup ambae ni mchezaji wa viwango kweli kweli, msimu huu simba tumepania kaka tunatuma salaama mambo hayatakua mepesi kabisa msimu ujao"
Msimu ujao utakua wa moto sana kiukwel
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Mhandisi Machibya Shiwa amesema ujenzi wa kipande cha Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma utagharimu dola za Marekani bilioni 2.7, sawa na takribani Sh. trilioni 6.3, na unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 48.
Mhandisi Shiwa ametoa taarifa hiyo leo Jumatatu Julai 20, 2026 mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa mradi huo.
Amesema mradi unahusisha ujenzi wa kilometa 411 za njia kuu za reli na kilometa 95 za njia za kupishana. Utekelezaji wake umegawanywa katika sehemu mbalimbali ili kuongeza kasi ya ujenzi kwa kutumia timu nyingi za wakandarasi.
Ameeleza kuwa mkandarasi wa mradi ni kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) huku Mhandisi Mshauri akiwa kampuni ya Dar Al-Handasah. Mradi pia utajumuisha madaraja makubwa 27, madaraja madogo 75 na box culverts 475.
Kwa mujibu wa Mhandisi Shiwa, reli hiyo itajengwa kwa viwango sawa na vipande vingine vya SGR kutoka Dar es Salaam, ili kuhakikisha kunakuwa na mfumo mmoja wa reli ya kisasa hadi Kigoma.
"Treni za abiria zitakuwa na uwezo wa kukimbia kwa kasi ya kilometa 160 kwa saa, huku treni za mizigo zikikimbia kwa kasi ya kilometa 120 kwa saa." alisema Mhandisi Machibya
Ameongeza kuwa kwa kuzingatia usalama wa wananchi, kutajengwa maeneo maalumu ya kuvukia reli katika njia yote kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma.
Pia kutakuwa na stesheni za Urambo, Uvinza na Kigoma, ambapo Stesheni ya Kigoma itakuwa ya nne kwa ukubwa nchini baada ya Dodoma, Dar es Salaam na Mwanza.
Aidha, amesema ujenzi wa daraja la Mto Malagarasi umefikia hatua nzuri, ambapo nguzo zake tayari zimekamilika, hatua itakayochochea kasi ya utekelezaji wa mradi mzima.
Mwijaku ๐ฃ๏ธ.
" Nikiwa na akili timamu nakili kua Nyumba yangu niliojenga ni takataka kwa sababu hizi nyumba za watu wa katoro ndo za matajiri ile yangu ya DSM ni kibanda"
-------------------------
Mwijaku aliyasema jana haya wakati akiwa katoro anaokota kwa matajiri wa katoro
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Maskini hana kiapo aiseee ๐
VIDEO:
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo) amewakosoa wale anaowaita "wenye midomomidomo" ambao hawasemi mazuri yanayofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, bali wanapiga kelele pale serikali inapokopa fedha kwa ajili ya miradi ya maendeleo.
Akizungumza leo Julai 20, 2026 mkoani Kigoma mara baada ya hafla ya uwekaji jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa Reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma uliofanywa na Dkt. Samia, Baba Levo amejitanabaisha kama mtetezi wa Rais Samia akijitambulisha kuwa โCha mdomoโ wake kwa kutetea kazi zinazofanywa na Rais.
Kuhusu uwepo wa makundi, mbunge huyo ameweka wazi kuwa yeye yuko kwenye "kundi la mama" (Rais Samia) na yuko tayari kupambana na mbunge yeyote bungeni atakayejaribu kuipinga dhamira ya serikali ya awamu ya sita.
Kama kweli walikuwa wanamdai, kwa nini wasikate kwenye hela yake moja kwa moja? ๐ค Au kuna kitu bado hatujakijua? Waliolifuatilia hili tangu mwanzo, mnaonaje? ๐
Mafuta yanatugusa wote, ndiyo maana maswali hayawezi kuepukika. ๐คท๐ฝโโ๏ธ Uwazi haupaswi kuogopwa, maana ukiwepo unaondoa mashaka na kujenga imani kwa wananchi. โฝ๐น๐ฟ
MAFUTA SI MALI YA SERIKALI; NI MALI YA WATANZANIA. HIVYO, WATANZANIA WANA HAKI YA KUJUA.
Mafuta ni bidhaa ya kimkakati. Bei yake huathiri gharama za usafiri, uzalishaji, kilimo,biashara na hatimaye maisha ya kila Mtanzania.Kwa sababu hiyo, mchakato wa uagizaji wa mafuta unapaswa kuwa wa uwazi, ushindani wa haki na uwajibikaji.
Kwa maslahi ya umma, mamlaka husika zinapaswa kutoa majibu ya wazi kwa maswali yafuatayo:
1. Ni kampuni gani imepewa zabuni ya kuingiza mafuta nchini kwa sasa?
2. Zabuni hiyo ilitangazwa lini, ilitangazwa kwa utaratibu upi, na ni kampuni ngapi ziliwasilisha zabuni zao?
3. Ni vigezo gani vya kitaalamu, kifedha na kisheria vilitumika kumchagua mshindi wa zabuni hiyo?
4. Kampuni ya Namaro ni ya nani? Imesajiliwa katika nchi gani? Ina uzoefu gani katika biashara ya mafuta, na ilikidhi vipi masharti ya zabuni?
5. Je, kuna uhusiano wowote wa kibiashara, kimiliki au wa kimkataba kati ya Namaro, Oilcom na Vitol? Ikiwa upo, ni wa aina gani?
6. Mkataba huu utaongeza ushindani na kupunguza gharama za mafuta kwa wananchi, au utaongeza mkusanyiko wa nguvu za soko kwa kampuni chache?
7. Serikali imechukua hatua gani kuhakikisha kwamba mchakato huu unazingatia sheria za manunuzi, sheria za ushindani na unalinda maslahi ya Taifa?
Haya si maswali ya uadui. Haya ni maswali ya uwajibikaji. Serikali inayosimamia rasilimali za umma kwa uwazi haina sababu ya kuogopa kuyajibu.
Wananchi wanapouliza kuhusu namna biashara ya mafuta inavyoendeshwa, hawafanyi hivyo kwa sababu wanapinga maendeleo. Wanafanya hivyo kwa sababu mafuta yanagusa maisha yao kila siku, na wanataka kujiridhisha kwamba maamuzi yote yanafanywa kwa uwazi, kwa ushindani wa haki na kwa manufaa ya Taifa.
Uwazi hujenga imani. Ukimya hujenga mashaka.
Mashabiki wa Simba, kalenda imejaa moto! ๐ฅ๐ฆ Kuanzia uzinduzi wa Simba Day hadi Simba Marathon, wiki chache zijazo zitakuwa za shughuli mfululizo. Ni tukio lipi unalisubiri zaidi? ๐โค๏ธ
Yaani mashabiki wa Simba mtandaoni ni moto kweli. ๐๐ฅ Ukiangalia nguvu yao kwenye mitandao unaelewa kwa nini wadhamini wanazidi kuvutiwa na klabu hii. Haya sasa, nani anabisha? ๐๐ฆ
๐จWatu Wa Simba Mtandaoni Ni Hatari๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Hii ndiyo Dhamani ya timu kubwa hupimwa namna hii, hapo wawekezaji wanaitamani sana hii club kwasababu matangazo yao yatakua yanaenda na kufikia namba kubwa sana ya watazamaji.
Ndiyo maana unaona kila Kikucha wazamini waliopo wanapigwa mawe wapishe wengine waingie.
Hii huwezi isikia upande wa pili kule๐๐
Inashangaza kuona misaada ikimiminika Somalia wakati Sudan inateketea, huku tukiona misaada mingine ikielekea hata nchi kama Kroatia. Kwa nini ubaguzi huu katika kuokoa maisha? Hatutanyamaza! ๐ธ๐ฉ๐ #Sudan#HakiKwaSudan#Kroatia"
Inashangaza kuona misaada ikimiminika Somalia wakati Sudan inateketea, huku tukiona misaada mingine ikielekea hata nchi kama Kroatia. Kwa nini ubaguzi huu katika kuokoa maisha? Hatutanyamaza! ๐ธ๐ฉ๐ #Sudan#HakiKwaSudan#Kroatia"
Inashangaza kuona misaada ikimiminika Somalia wakati Sudan inateketea, huku tukiona misaada mingine ikielekea hata nchi kama Kroatia. Kwa nini ubaguzi huu katika kuokoa maisha? Hatutanyamaza! ๐ธ๐ฉ๐ #Sudan#HakiKwaSudan#Kroatia"
Inashangaza kuona misaada ikimiminika Somalia wakati Sudan inateketea, huku tukiona misaada mingine ikielekea hata nchi kama Kroatia. Kwa nini ubaguzi huu katika kuokoa maisha? Hatutanyamaza! ๐ธ๐ฉ๐ #Sudan#HakiKwaSudan#Kroatia"
Inashangaza kuona misaada ikimiminika Somalia wakati Sudan inateketea, huku tukiona misaada mingine ikielekea hata nchi kama Kroatia. Kwa nini ubaguzi huu katika kuokoa maisha? Hatutanyamaza! ๐ธ๐ฉ๐ #Sudan#HakiKwaSudan#Kroatia"
Inashangaza kuona misaada ikimiminika Somalia wakati Sudan inateketea, huku tukiona misaada mingine ikielekea hata nchi kama Kroatia. Kwa nini ubaguzi huu katika kuokoa maisha? Hatutanyamaza! ๐ธ๐ฉ๐ #Sudan#HakiKwaSudan#Kroatia"
Inashangaza kuona misaada ikimiminika Somalia wakati Sudan inateketea, huku tukiona misaada mingine ikielekea hata nchi kama Kroatia. Kwa nini ubaguzi huu katika kuokoa maisha? Hatutanyamaza! ๐ธ๐ฉ๐ #Sudan#HakiKwaSudan#Kroatia"