TUMIA REMOTE CIU YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME.
kuna wakati unakuta kifaa chako cha kuingizia umeme yaani ile remote ya mkononi (CIU) imepasuka au imegoma kabisa kupokea token hata ukifanya troubleshooting kwa kuingiza code bado umeme hauwaki.
Leo ntakuonyesha namna...
For boys (na Labda wasichana pia wanahitaji kusikia haya! 🤷🏾♂️):
1. Hakikisha unaoa. Kuoa ni lazima. Kuoa siyo lazima uwe na pesa. Ukikua kiasi cha kuzalisha mwanamke, oa! Mengine yatajipanga. Uoe nani sasa, sikia mtazamo wangu!
2. Oa tu mwanamke kama unampenda na una nia ya kuanzisha familia iliyo bora. Oa mwanamke atakayekuwa rafiki mzuri kwako na mama mwema kwa wanao. Oa mwanamke mwenye MUNGU ndani yake. Ni bonus ukipata mwenye shape, lakini lazima awe na Mungu ndani yake.
3. Ikitokea ukaoa usiwe mwepesi kutoa talaka. Ipambanie ndoa yako isimame. Hakuna viumbe wagumu kuwaelewa kama wanawake. Wanadamu tuko wawili tu - Ke na Me! 😀. Lakini Ke my brother, ni mgumu sana kumuelewa. Ukiishaamua kumuoa, jifunze kumvumilia, kumhurumia, kumpuuza (akianza maneno, maana kwa uhakika ataanza tu!)
4. Usije ukarogwa hata siku moja ukamuoa msichana ambaye ana MENTALITY, ya kuwa eti Wewe ni chanzo chake cha pesa na maisha mazuri; ila zingatia tu kwamba wanawake wote duniani watakupenda na kukukubali kama una pesa!
5. Jua kwamba ni jukumu lako kumhudumia mwanamke wako, lakini mwanamke aliye bora ni yule asiye na mentality ya kukuchuna, ni yule mpiganaji anayezalisha chake, anayeweza kukizalisha chako/chenu na anayeweza kukusaidia kujenga maisha ya familia yenu.
6. Mwanaume kamili aliye bora haulizi kipato cha mkewe, hamgawii mwanamke majukumu ya familia (hata kama mwanamke ana kipato kikubwa kuliko yeye). Zingatia neno ‘mentality’ ya kiume. Na mentality ya ‘kike’! Kaa kwenye mentality yako, ila kama ulichagua mwanamke sahihi, ata-step in kuinyanyua familia na hali ya maisha yenu bila kuambiwa, bila kulalamika, kwa siri na staha kubwa, na bila kukudhalilisha.
7. Epuka kukaa kwenye mahusiano na mwanamke anayekuomba nauli kila siku mkitaka kwenda out, anayekuomba pesa ya salon kila mkitaka kutoka, anayelewa pombe sana, anayependa kuwasiliana na kujenga urafiki na wanaume wengine, anayependa kufuatilia maisha ya couples nyingine na kujifananisha nao, anayetamani vitu vikubwa vikubwa wakati anakuona unajitafuta!
8. Epuka kuwa na mahusiano na mwanamke anayeona anakupa favour kuwa na wewe, anayeona uzuri wake ama show zake kitandani ndiyo kila kitu!
9. Epuka kuwa na mwanamke anayeona wewe siyo saizi yake sema basi tu, asiyeweza kukutambulisha kwa ndugu na rafiki zake, asiyejivunia kuwa na wewe, asiyeweza kwenda out na wewe! Epuka huyo!
10. Epuka mwanamke mwenye password nyingi sana kwenye simu yake, anayesevu namba za wanaume kwa codes, asiyeweza kupokea simu mbele yako, anayeweka airplane mode mbele yako, anayezima data mbele yako, anayeanzisha biashara bila wewe kujua mipango yake, anayependa sana kujiremba hadi kupitiliza! Epuka huyo!
#HK #Fighter #NjeYaBox
Kuna mtu ana Unyonge sana baada ya kuona amefungua ofisi, tangu alipie Kodi mpaka Leo anaelekea kulipa Kodi nyingine anaona Hana faida aliyoingiza.
Nataka nikuoneshe CHANGAMOTO ambazo hutokea wakati wa founding pamoja na SOLUTIONS za kukusaidia kutoka hapo!
Itunze post hii 🧵👇🏾
Dear Young Men.
Hakuna mafanikio ya siku moja, week au ndani ya mwezi.
Hivyo usijipe presha kuzani unapaswa kufanikiwa haraka kwa sababu ukifeli itakukatisha tamaa
Nenda hatua kwa hatua. Zingatia kuwa na Nidhamu, Subira na Kujituma📍
TUMIA MISEMO 10 IFUATAYO KUKUONGEZEA MOTISHA ILI KUFANIKIWA. 👊✨
Thread 🧵
1. “Nafasi za kufanikiwa hazijitokezi hivi hivi, inabidi uzitengeneze” – Chris Grosser
2. “Njia pekee ya kufanya kazi nzuri ni kupenda kazi yako. Kama hujapata kazi unayoipenda, endelea kuitafuta. Usiridhike” – Steve Jobs
3. “Mtu asiyewahikukosea hajawahi kujaribu kitu kipya” – Albert Einstein
4. “Kama kila kitu kingekuwa kimekamilika, usinge jifunza chochote na usingekuwa” – Beyonce Knowles
5. “Ndoto ni kitu nzuri. Ila, ni ndoto tu. Ndoto hazifanikiwa kuwa kweli kwa kuwa umeziota. Kuchapa kazi ndio inafanya ufanikiwe. Kuchapa kazi ndio kinachosabibisha mabadiliko” – Shonda Rhimes
6. “Labda hautashindwa kama mimi nilivyoshindwa, ila, mara nyingine kushindwa hakuepukiki. Haiwezekani kuishi bila kushindwa kufanya kitu mara moja, labda uwe unaishi kwa tahadhari kwa kiasi kikubwa kwamba bora usingeishi kabisa – na hapo, tayari utakuwa umeshindwa” – J.K Rowling
7. “Simjui mtu yoyote aliyewahi kufika ngazi za juu bila kuchapa kazi. Hiyo ndiyo kichocheo. Na labda haitakufikisha juu kabisa, ila utakaribia” – Margaret Thatcher
8. “Kufanikiwa kwa kishindo, inabidi ujaribu kufanya vitu vikubwa” – Bill Gates
9. “Bora uwe na marafiki waliokuzidi. Chagua marafiki wenye tabia nzuri kuliko ya kwako na utaishia kuwafuata” – Warren Buffet
10. “Tunaweza tukashindwa mara nyingi, ila tusikubali kushindwa kabisa kabisa” – Maya Angelou
Misemo yote hiyo ina ujumbe inayofanana. Tegemea kushindwa, chapa kazi, chagua kazi unayoipenda na jihusishe na watu watakao kuongezea motisha na kukusukuma ili ufanikiwe.
Wote hawa walikuwa na mapambano yao binafsi ila hawakuruhusu kushindwa mara kwa mara iwakatishe tama. Na wewe pia inabidi ufanye hivyo. Kumbuka, chochote kile unachopitia kita pita.
Usisahau Kunifollow @mudryk_jr na ku,turn on Notification 🔔
>Like❤️
>Repost🔄
>Comment!
KUANZIA UMRI WA MIAKA 25- 35 UNATAKIWA UYAFAHAMU HAYA…
1. Tunza mwili wako. Kumbuka afya ni aina nyingine ya utajiri.
2. Weka kawaida kutembea kwa njia fulani peke yako kwa sababu malengo ni ya kibinafsi sana...
3. Uwe mkomavu vya kutosha kudhibiti hisia zako, Jifunze kuguswa kidogo.
4. Jikomboe kutoka kwa ushauri wa jamii, wengi wao hawajui wanachofanya...
5. Usipoteze nguvu zako kwa hofu. Tumia nguvu zako kuamini, kujifunza, na kukua…
6. Ukitaka kuwa na furaha daima kuwa na sifuri katika matarajio ya wengine.
7. Usijaribu kumbadilisha mtu yeyote. Badilisha jinsi unavyoshughulika nao.
8. Mzunguko wako unatakiwa kujivunia, sio wivu.
9. Usimwambie mtu yeyote kuhusu mipango yako, panda kwa siri.
10. Hutakuwa kijana milele, fanya kile kinachokufurahisha kila siku.
11. Jifanyie upendeleo, tajirika; Maisha yanakuwa rahisi kwa pesa na sio wakati.
12. Jifunze nidhamu na uthabiti na uangalie maisha yako yakibadilika.