Akiwasilisha mitigating factors, Lissu anasema:
"Historia haijawahi kuwa nzuri kwa Majaji wanaofunga watu wasio na hatia ili wamridhishe mteule. Hilo kosa la uchochezi mmelitafuta wenyewe Majaji kumsaidia mteule wenu."
What a Man!
#TANZANIA: TUMEANGALIA KAULI ZILIZOTOLEWA NA MSHITAKIWA, TUMEONA HAKUNA USHAHIDI WA MOJA KWA MOJA - MAHAKAMA KUU
"Tumeangalia kauli zilizotolewa na mshtakiwa. Tumeona hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa alilenga kuitishia serikali. Tumeangalia tafsiri ya shahidi wa 1, 2 & 16 tumeona ni nadharia, haziwezi kuthibitisha kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia serikali." - Yanayoendelea katika hukumu ya Lissu Mahamama Kuu
Hoja ya pili, kwamba Lissu alitengeneza 'nia ya kuzuia uchaguzi kwa lengo ya kuitisha serikali' - imepigwa chini.
It goes without saying that this flickering case was dead on arrival.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Tundu Lissu, ameingia ndani ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, tayari kwa kusikiliza hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili.
Dada zangu @mangekimambi na @MariaSTsehai
Naomba Msimjibu tena Lema acha tufocus na LISSU na WAPIGANIA Haki wengine ambao wako matatani Kwaajili yakupigania Haki….
Mdogo wenu hapa Nuruvazi❤️
Naomba repost ziwe nyingi ziwafikie wanao shinda kwenye nyumba za ibada walokole wa dini zote, na watu wa kila rika na kila pembe ata miisho ya mito na bahari wasikie neno hili....... Usisahau kurepost na mwingine ajifunze
They were systematically hunting down people.
Imagine, serikali yako mwenyewe inakuwinda hivi kama mnyama ili tu wachache waweze kushikilia na kunyonya nchi.
Lord, on this solemn one-year anniversary, we remember and honor the souls lost on October 29th in Tanzania.We pray for eternal rest for those who passed, strength for their grieving families, and peace,justice, and healing for the nation. They are not forgotten🇹🇿 #InLovingMemory
Samia Amesababisha Familia ngapi zikose ndugu?
Samia amesababisha watoto wangapi wakose baba? mama? au walezi? na kuwafanya wawe yatima?
Samia anadhani kuwa wale watanzania zaidi ya 10,000 ambao wengi wao walikosa hata cha kuzika, wakazika nguo. kwamba wanaweza kusahau, never.