@assengajrr Kwani faini kapigwa GSM au imepigwa club
Club ni ya wanachama sio GSM ndio maana kuna mgawanyo waumiliki 51/49
Jikite kwenye kuelewa punguza mihemko
@Conspiracist_1@Herrybaree Wanasema zoezi la kutua ni hatarishi kutokana na speed inaweza sababisha aridhi kuharibika na chombo pia, maji yana absorb hyo speed yani kama mtu ukijirusha kutua kavukavu na kutua kwenye godoro.