@MpellyTech1 Hakuna anayeombea hili lakini angalia asije kunyakuliwa alaf muwe hamjapata nafasi ya kusolve hilo swala. Utalia kama mtoto, swallow your pride ongea nae myamalize. Life is too unpredictable kugombana na ndugu wa damu it's not worth it
@hereiseddy_ Ndio nilikutana na meme moja juzi inasema. Pablo Escobar used to announce bei ya cocaine kwenye redio alfu mfanyabiashara wa online anakwambia njoo Dm π