Hizi niliagiza kwa Mzee wa kulala vibarazani😅
You can ctr via Google Home App ipo kwenye TV(F3) na Simu pia( F4)
Pia you can set automations ex! ukiondoka home taa zizime/ Ukifika home ziwake, Ukiweka movie Taa ziwake rangi fulani nk!🤝
Kama ana biashara we muungishe tu afu muombe delivery either alete ofisini kwako au fata parcel na ndinga hatakama sio kali hawayajuagi magari hawa😂
Au akufanyie delivery kwako kwenye apartment kali usimkaribishe ndani wala nini we mpe tu nauli ya kurudia
NAKUHAKIKISHIA UTAPOKEA TEXT UKIITWA BABAA KUJIFANYA UNAULIZWA FEEDBACK YA BIDHAA SIKU SI NYINGI😭