Masjid yetu pale Shule Enzi zile ulikuwa karibu na barabara, means watu wakipita mkiwa mnaswali wanaskia
Kuna Imam wetu pale alikuwa Ana recite Qur'an vizuri Sana mkimaliza kuswali mnakuta watu wamekaa wanamskiliza Kwa nje
Sijui yuko wapi now ila Allah amuongezee
Nikiwa Minaki miaka hio, all of my class wanted to go to MUHAS (Funny enough I never wanted to, kwanza MUHAS nilipasikia kwa mara ya kwanza nikiwa minaki😂) and kuna watu hadi walikua wamesha ahidiwa vyumba campus 😂.. only two niggas in that class made it to MUHAS.
@_sirsaline They should stop making joint ventures between themselves. If you are a doctor look for someone in accounts and finance, look for someone in Human Resources, look for someone in IT, look for someone in law. Then pool your resources together.
Zamani kama ulikuwa unataka Followers na uhakikishe hawa jamaa unaishi nao vizuri.
Hapo kulikuwa na Rais wa wapwa,Makam Rais wa wapwa na Waziri mkuu wa Wapwa.Cha ajabu mpaka kulikuwa na Uchaguzi wa kuwachagua.
The best part of tonight for me isn't the Champions League final.
It's looking over and seeing my parents next to me who worked so hard to raise me.
As a kid from Tanzania, that's the part I used to dream about ❤️
Nachukia sana mtu kakosea halafu analeta sababu ili watu wamuonee huruma kwa kigezo kuwa ni Mwanamke kmkee huyu manzi kazingua pakubwa halafu amethihirisha waandishi wa habari wa Bongo kuna namna hawako professional 🚮
Umeajiriwa unalipwa mshahara 3M
Ofisini wewe ndio mtu pekee unayejua kufanya unachofanya, na ni ngumu kuwa replaced
Unaomba mshahara upandishwe hadi 5M
Unapewa options 2
1. Ubaki na mshahara wa 3M
2. Uwafundishe wenzio unachofanya upewe mshahara wa 6M
Utachagua option ipi?
Mshahara wangu wa kwanza pale White sands ulikuwa 250k.
Nauli;100k(magomeni to mbezi beach)
Kodi;50k
Bando;Wi-fi kazini
Umeme;10k
Maji;5k
Chakula kazini
Betting;25k
Saving;40k
Kuhonga wake wanne;20k https://t.co/1R4GLh73z2
Ukienda viwandani mshahara mkubwa mtu analipwa ni 10k per day , nauli, lunch juu yako, mishahara mingi ni 5-7k per day,mtu anasema 600k per month take home ni ndogo na waache kazi, kuna ugomvi gani kati ya Akili na watu weusi, 20k per day unaishi vizuri acheni standard za hovyo!