Tajiri akiweka milioni 500 kwenye UTT halafu ikaturn 10% kwa mwaka…
anapata milioni 50.
Wewe ukiweka laki 5 ukapata 10%…
unapata TSh 50,000.
Asset ni ile ile.
Matokeo ni tofauti kabisa.
Ndiyo maana usiige uwekezaji wa mtu.
Elewa kwanza .
👇🏼
Kuna mdada mmoja humu alikua anajiita “Enjei” TL yake ilikua imekaa kiulayaulaya kweli na sio faking.
Alikua hareply comments zaidi ya Idris Sultan, Naye ilichukua muda mpaka kuanza kujibiwa ila before alikua anajicommentisha tu.😁
Yule Dada handle yake iko wapi siku hizi?