Kuna ofisi moja nilikuwepo nalipwa around 1.5-2M alafu anayenisimamia nifanye kaziπ analipwa 8M nikamuambia boss kazi ninazofanya ungeajiri watu 5 ila nafanya mwenyewe
Ongeza hadi 3.5M anasema hana hela nikaresign
Nilikuwa replaced na watu 3 ila ilichukua mdaa sana
Umeajiriwa unalipwa mshahara 3M
Ofisini wewe ndio mtu pekee unayejua kufanya unachofanya, na ni ngumu kuwa replaced
Unaomba mshahara upandishwe hadi 5M
Unapewa options 2
1. Ubaki na mshahara wa 3M
2. Uwafundishe wenzio unachofanya upewe mshahara wa 6M
Utachagua option ipi?
Tuacheni kudanganyana maisha ya sasa hivi kwa mwezi bila 2M-3M hutoboi unless uwe unaishi kama panyaa wazee
Mshahara wa 300k - 1M ni pesa ya kukufanya usife tu na njaa maisha yamepanda nani Magumu sanaa
Kingine hatuwezi kuwa sawa wote hujashika 1M ndomana unaona kubwa