@bonifacejoseph_ Bora nifue gunia la nguo ila sio kuosha sufuria mbili, yaani ni kazi ngumu sana asee.
ππ Hiv hii vita ya mwanaume na vyombo itaisha lini
@nassor_01 Sasa we jamaa; bajeti ya moshi ni kubwa kuliko ya chai.
Kiufup kwa ratiba hiyo kama ni kila siku naona sukari, presha, gono, UTI, cancer na sonona kama kifungashio