Fundi anarudi kwenye UWAKILI, nakumbuka kesi ya yule kijana alosemaga JPM ni mpumbavu, LISSU akajitolea kumtetea kijana mahakamani, LISSU akawaambia mteja wangu hakumaanisha JPM ni JOHN POMBE MAGUFULI, kijana alimanisha JPM ni JUMA PUMBA MAHARAGE, kesi ikaisha 😂
He is back ✊
Unaweza kwenda Bank ukatoka na Depression, kuna Jamaa wanakuja na Mabegi kuweka Fedha
Wakati wewe umeenda kuactivate Acc ambayo imefungwa baada ya kukaa muda mrefu bila chochote kitu.
Bro to bro,
Usitoe 200 au 300, kulipia choo cha Manispaa mjini ni vichafu kwanza,
Nenda Petrol Station, Hospital au Kituo cha polisi vilivyopo karibu yako, ni bure afu ni Visafi mno. 📌
Happy reborn day kwako @SheilaMchamba Lastborn wa Chama. Nakutakia maisha marefu, afya njema, furaha na mafanikio katika mapambano
Mungu azidi kukuongoza, kukulinda na kukubariki katika majukumu yako. Have a beautiful birthday! Mwenye wivu hawezi kutona vizuri hapo F2 😂
Kwanini wanaogopa Lissu asikate Rufaa ni mbogamboga. eti akikata rufaa, wanamhurumia kesi ya uhaini inaweza kurudishwa, kwanini msishukuru kesi ya uhaini kurudishwa ili anyongwe, hamtaki afe??
if you don'tsmell something fishy you might be a fish we are looking for 😄 🤣 😂
Mudi dubai kasema anavyomuona Imma fundi nguo gairo hana uwezo wa kumlipa pesa amnunulie mashine Dubai.
Kwa hiyo atamuunganisha na jamaa yake anayeuza vyuma chakavu mnazi mmoja. 😂