Watanzania, tumefikisha TSh. Milioni 300 katika zoezi la kuchangia Baraza Kuu la Umma, tumebakiza TSh. Milioni 34 kufikia lengo letu la TSh. Milioni 334.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB
Bank Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Habarini za Asubuhi Champions 🏆
Leo Ni siku nimyingine tena kupambania mkate wetu wa kila siku
Hatuna hakika kama tutapata lakini tunaimani na anayetoa✍️
Nimekaa naanza kuvuta picha matukio ya nyuma ndio naanza kuona namna GANI MBOWE alituona watanzania WASENGE.
Jamaa alienda kuandamana na mtoto wake, yani inaonekana kabisa kajipeleka na mwanae. 😁
Zile ndio SIASA ZA MBOWE sasa, sijui hata kama jela (ZAMA ZA MBOWE GAIDI) alikuwa anaishi maisha magumu kama LISSU, usikute alikuwa anakaa kwake mikocheni anaenda gerezani siku za mahakamani tuu.
SIASA ZA MBOWE NDIO CHANZO CHA HILI TAIFA KUWA HAPA—MBOWE ANATAKIWA KUTENGWA NA JAMII YA WATU WENYE AKILI TIMAMU.
Ni ukomavu mkubwa kuamini katika ndoto na dhamiri na Imani ya taasisi kuliko kuamini katika ndoto na matakwa ya mtu binafsi. Pia Vijana nawashauri sana kuamini ndoto zenu zitatimia Kwa kuamini katika uwezo wako juhudi zako na kujituma na sio uchawa Kwa mtu Fulani kisa Ana cheo.
Huyu anaitwa Jackson yupo Oysterbay polis kitengo( SIBER)
ndio aliusika na utekaji wa ndugu yetu peter mushi na kumweka kwenye gari aina ya crown na kuondoka naye.
mpaka sasa ni siku ya 11 @tanpol wamekaa kmy na bila kutoa ushirikiano kwa familia💔
Naomba Retweet🙏
Freeman Mbowe hajawahi kupata dakika moja amtembelee Tundu Lissu gerezani au mahakamani. Lakini ana muda wote wa kuzurura na Samia, na leo yuko Rufiji kupiga picha ktk bwawa la umeme. I’m proud of y’all for ending his politicalpreneur career!
Leo ni siku muhimu kwa Tanzania na wapenda haki Duniani.
Asanteni Wananchi na wanachama wa CHADEMA kanda ya Pwani kwa kujitokeza ktk kushuhudia siku hii ya kihistoria.
Mwenyezi Mungu amtangulie Tundu Antipas Lissu.
Juzi baada ya kumpost Bibi yake @DEUSDEDITHSOKA , watu wengi mliomba tufanye jambo kwa ajili ya Bibi yake Soka.
Sasa, jana Mwenyekiti wa Bavicha Kanda ya Pwani @JohnNgutiCDM pamoja Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Kilimanjaro @AchibodM walienda Kijijini kumtembelea Bibi yake Soka baada ya kuzungumza nae, kuna vitu vya muhimu ambavyo Bibi anahitaji ikiwemo ni Bima afya.
Hivyo tunaomba kila mmoja aliyeguswa na jambo hili atume mchango wake kwenda kwenye-;
Mpesa : 0740498941
Jina: Theresia Soka.
NB. Tunakusudia kukusanya milioni tano.
REPOST 200
‼️TUWEKE KUMBUKUMBU SAWA‼️
Huyu kwenye picha anaitwa Mohammed Mirambo ndo alikuwa OCCID wa TEMEKE.
Yeye ndo alimpigia simu Deusdedith Soka na kumwambia aende kituo cha Polisi Chang’ombe kuna pikipiki ya wizi imekamatwa ambayo wanadhani ni Mali ya Soka so aende kuitambua (Pikipiki ya Soka ilikuwa imeibiwa so alikuwa amefungua jalada Chang’ombe Polisi)
Soka aliogopa kwenda Peke yake ikabidi amuombe Katibu wetu wa Chadema Wilaya ya Temeke Jacob Mlay na Frank Mbise ambae ni dereva wake ili wamsindikize.
Soka na wenzake walifika kituo cha Polisi Chang’ombe ila tangu siku hiyo hadi leo ni miaka miwili hawajawai kuonekana popote.
Huyu Mohamed Mirambo aliyefanikisha zoezi la kumteka na kumpoteza Soka na wenzake, alipandishwa CHEO kutoka kuwa OCCID sasa hivi ni RCO wa KINONDONI.