@IAMartin_ Logically ni kwamba wanasema uchaguzi ni haramu hapo hapo wanaomba viti maalum na kutoa pongezi kwa Ado. Kwa kifupi wamekubaliana na uchaguzi sema viti ndio hawajapewa so luzuku haipo. Hii kwa ratin Maxim inaitwa "commodum ex injuria sua nemo habere debet."
@godbless_lema Ukiwa kiongozi ukaonekana kutetea wananchi shida, ukiwa raia wa kawaida ukahaji kifo au kutekwa. Is this a country or a demonic kingdom?