I know how many times I have made you go through tough times, I have made many sad, many mad and many cry all because they loved me too much. I can not promise to be different but I can promise to be bigger and better. I LOVE YOU and thank you for the great strength you give me.
Tunatoka mitaa ambayo Birthday chache Mingi Misiba kwaiyo angalia usiwe chanzo cha kuongeza majeraha kwenye mioyo yetu yenye iliyojaa vidonda jitahid uwe hata JOY GIVER
Kwenye hii mitaa yetu .
# HUMU TU ✊️
UKIANGUKA INUKA
ANZA UPYA TENA
NI MARUFUKU KUTA TAMAA
NO BAD ENERGY
ONLY STRONG WILL SURVIVE
POSITIVE ALTITUDES ONLY
#HUMU TU ✊️
@ babuwakitaa_tz @BDonforgen@204_gregory@MnyamweziMmoja
For boys (na Labda wasichana pia wanahitaji kusikia haya! 🤷🏾♂️):
1. Hakikisha unaoa. Kuoa ni lazima. Kuoa siyo lazima uwe na pesa. Ukikua kiasi cha kuzalisha mwanamke, oa! Mengine yatajipanga. Uoe nani sasa, sikia mtazamo wangu!
2. Oa tu mwanamke kama unampenda na una nia ya kuanzisha familia iliyo bora. Oa mwanamke atakayekuwa rafiki mzuri kwako na mama mwema kwa wanao. Oa mwanamke mwenye MUNGU ndani yake. Ni bonus ukipata mwenye shape, lakini lazima awe na Mungu ndani yake.
3. Ikitokea ukaoa usiwe mwepesi kutoa talaka. Ipambanie ndoa yako isimame. Hakuna viumbe wagumu kuwaelewa kama wanawake. Wanadamu tuko wawili tu - Ke na Me! 😀. Lakini Ke my brother, ni mgumu sana kumuelewa. Ukiishaamua kumuoa, jifunze kumvumilia, kumhurumia, kumpuuza (akianza maneno, maana kwa uhakika ataanza tu!)
4. Usije ukarogwa hata siku moja ukamuoa msichana ambaye ana MENTALITY, ya kuwa eti Wewe ni chanzo chake cha pesa na maisha mazuri; ila zingatia tu kwamba wanawake wote duniani watakupenda na kukukubali kama una pesa!
5. Jua kwamba ni jukumu lako kumhudumia mwanamke wako, lakini mwanamke aliye bora ni yule asiye na mentality ya kukuchuna, ni yule mpiganaji anayezalisha chake, anayeweza kukizalisha chako/chenu na anayeweza kukusaidia kujenga maisha ya familia yenu.
6. Mwanaume kamili aliye bora haulizi kipato cha mkewe, hamgawii mwanamke majukumu ya familia (hata kama mwanamke ana kipato kikubwa kuliko yeye). Zingatia neno ‘mentality’ ya kiume. Na mentality ya ‘kike’! Kaa kwenye mentality yako, ila kama ulichagua mwanamke sahihi, ata-step in kuinyanyua familia na hali ya maisha yenu bila kuambiwa, bila kulalamika, kwa siri na staha kubwa, na bila kukudhalilisha.
7. Epuka kukaa kwenye mahusiano na mwanamke anayekuomba nauli kila siku mkitaka kwenda out, anayekuomba pesa ya salon kila mkitaka kutoka, anayelewa pombe sana, anayependa kuwasiliana na kujenga urafiki na wanaume wengine, anayependa kufuatilia maisha ya couples nyingine na kujifananisha nao, anayetamani vitu vikubwa vikubwa wakati anakuona unajitafuta!
8. Epuka kuwa na mahusiano na mwanamke anayeona anakupa favour kuwa na wewe, anayeona uzuri wake ama show zake kitandani ndiyo kila kitu!
9. Epuka kuwa na mwanamke anayeona wewe siyo saizi yake sema basi tu, asiyeweza kukutambulisha kwa ndugu na rafiki zake, asiyejivunia kuwa na wewe, asiyeweza kwenda out na wewe! Epuka huyo!
10. Epuka mwanamke mwenye password nyingi sana kwenye simu yake, anayesevu namba za wanaume kwa codes, asiyeweza kupokea simu mbele yako, anayeweka airplane mode mbele yako, anayezima data mbele yako, anayeanzisha biashara bila wewe kujua mipango yake, anayependa sana kujiremba hadi kupitiliza! Epuka huyo!
#HK #Fighter #NjeYaBox
Ukitaka uishi maisha ya uhuru na furaha, basi kuwa kama kitabu. Yaani mruhusu kila mtu akutafsiri kwa kadri ya mtazamo wake na kamwe usithubutu kujiaminisha mbele yao ..
Mpende mtu kutokana na juhudi zake juu yako na wala si kutokana na ahadi zake, sababu mwisho wa siku ahadi ni maneno tu kama maneno mengine kwani watu ni wagumu kuzitimiza ..
Goal setting for 2024:
If you haven't created your goals yet, don't worry, it's not too late.
Here's the format i recommend --> write goals in these 6 categories:
1. Personal
2. Professional
3. Spiritual
4. Financial
5. Health
6. Relationships
Make sure each goal is measurable. Try to put a deadline on each one of them (where possible).
Once completed, show it to a few of your very close friends to get their feedback, but also, to hold you accountable.
Review your goals weekly/monthly to keep you focused.
Remember, what's not measured, can't get improved.
All the best 👊🏽
JINSI YA KUWEKA BIASHARA YAKO GOOGLE MAP
Je Unapata changamoto ya wateja wako kushindwa kufika biashara yako ilipo?
Je Unataka biashara yako ionekane Goole?
Je Unataka mtu aki Search Google jina la biashara yako Google map imuelekeze mpaka ulipo?
Huu UZI ni Kwaajili yako👇👇
Usisubiri mtu aje kukushika mkono, Safari yako ya mapambano ni yako pekeako so kila hatua unayotaka kupiga ifanye kwa nguvu zako zote.
Tumia vizuri fursa zinazokuzunguka na ukipata nafasi yakumshika mwingine mkono basi usisite kufanya hivo maana "We rise by lifting others"
Masuala ya lishe, usalama na ubora wa chakula yanahitaji mjadala mpana na maamuzi ya kisera.
1. Pamoja na kufutwa kwa @TFNC_TZ bado tunahitaji chombo cha kusimamia lishe nchini.
2. Jukumu la kusimamia ubora na usalama wa chakula lirudishwe
@tmda_tanzania chini ya
@wizara_afyatz