Aina ya soulmate inaamuliwa na Mazingira na sehemu unazokwenda mara Kwa mara.
Na watu unakutana nao na kuunganishwa nao.
Ni kama tupo limited Kwa namna Fulani.
I have an idea ya kutengeneza a Worldwide Dating app ๐ค,a Giant one.
Iwe ni rahisi kudate na Mtu Nchi yoyote duniani.
@FamWorld2025 Kila mtu anahitaji maombi,
Kitendo cha kutokuwa na nafasi ya kusema hapana, kisa ni boss wako. That's selling soul in pieces
Huwezi fanya maamuzi binafsi kimaisha sababu ya msukumo wa familia na marafiki, that's selling soul in pieces
Selling soul start in small pieces.
Sawa tunahitaji upendo, ila hakuna anayeweza kutupenda kama kristo alivyopenda akapigwa msalabani na kusulubiwa ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele.
@zebulon_mosha@NyandaAmosi Kristo ailkuwako kabla ya kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.
Soma Yohana 17:5
Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.
As a country ๐น๐ฟ we need a radio station focused on content like;
- Innovation
-Business talks
-Financial Market
-Investment
-Technology
-Development schemes