Habari kaka @IAMartin_
Mwezi wa 9 Mwaka Jana nilikamatwa na Polisi nikawekwa Mahabusu bila kupewa haki ya kutoa Taarifa kwa Mtu yoyote mpaka Wazazi wangu walivyonipata baada ya kunitafuta WIKI Nzima 🥹
Nilikaa Central ya pale Posta SIKU 36 kisha nikafikishwa Mahakama ya Kisutu
@LawizY_99@prossoff Brother kuna pipo ziko na hela 500k kuna watu ni useless, kuna demu maghetton bwana wake kaja kutoka abroad kamuachia more 25M+ anunue Gari then kamwambia huo ni mwanzo akimfurahisha atampa zaidi ya hicho na per month anampa hela sawa na mshahara wa daktari Kama month allowance😂