UKWELI MCHUNGU: Kama baba yako angeamua kukwambia mabaya aliyokuwa anafanyiwa na mama yako hiyo heshima unayompa mama yako leo wala usingempa. Mama zetu tunawaheshimu na kuwapenda kwa sababu tu baba zetu waliamua “kufa kiume” na mambo yao moyoni. Heshima kwa wababa/wanaume wote!!
Journalists siku hizi mtelezo , source zao za habari zinafanya mapodikasti zinafunguka ile mbaya. Gone are the days ambapo mwandishi kupata habari lazima utumie gharama kubwa (usafiri, chakula, malazi n.k). Disadvantage ni kwamba siku hizi kila mtu akiamka tu anakua mwandishi.
“Utakula nini?”
Hivi hamna(ga) maswali mengine?
Niulize mambo ya maana mfano:-
1. “Nikikupa donati utakula?”
2. “Leo nikupe kwa mtindo gani?”
Na mengineyo!!
Kenge kabisa 🚮🚮😂