Gen Z. wa Tanzania wapo Busy na Jezi za SANDA na Matokeo ya Yanga huko S. A..Na wapo busy na Kushindana kubeba mabango ya Samia siku ya SIMBA na YANGA.. hata kupost hili Bango wanaogopa halafu leo hii Wanakuambia tunataka mabadiliko Tanzania.
Sisi ni 👉🐮 kabisa tena 👉🐄
Ahsante sana ndugu yangu @MussaMartin14 🤝
Ni vijana wachache katika Taifa letu wanaweza kusimama hadharani na kumtaka IGP aondoke madarakani kwa kuwa ameshindwa kulinda raia na mali zao.
Watu wengi hawana sauti, pia waoga, watukusaidia kufikisha ujumbe huu kwa IGP na RAIS.
@ExMayorUbungo Huwa napata hasira sana ninapo ona mtu yupo busy na mamipira kuliko mambo ya msingi yanayohusu nchi yetu na mstakabali wa maisha na vizazi vijavyo