Mi hushangaa na wasee hucritizlcize how mums hudress (African mums) on that matter. Nyi hamjui ours mums wanaeza ata vaa sneakers zako safi waende nayo church halafu after hiyo aende nazo kwa shamba na hakuna kitu utado. Tuwache kujifanya huku online.
Nayo leo nimeona women here wanalamikia Charlene kuhusu mavazi, the lady was smart,nyinyi ata hamna watu, mmegeuka bed midfielders lakini hamkosi opinions
Nayo leo nimeona women here wanalamikia Charlene kuhusu mavazi, the lady was smart,nyinyi ata hamna watu, mmegeuka bed midfielders lakini hamkosi opinions