@KCBInKenya Hamja nifanya vizuri. Wakati wakulipa fees ndio mnatowa mobi limit yangu from 50k to 00. Balance delayed in hours na shida ilikuwa app yeno. Nafikiri kuhama.
@AIRTEL_KE Thank you for good service by Sarah & Eliza.
Lakini mbona tunasimama tukihudumiwa. Meza zenu ziko juu sana na viti chiniii. I gues hata staff wenu hawaja sema hizo viti zao za juu they stress miguu sana. Fanyeni jambo reduce the high of the table. I stand corrected.