Wasichana NI wabaya mkifika 35yrs kama couples na bado mnaishi single room.leo bro yangu ametoka kila kitu akawachiwa TV Ile ya 32inches ya button na kitanda ya 4 by 6
Mimi nilifika 67kg with a slightly visible belly,ilibidi niaze home workouts bana.mambo ya kukula na tumbo https://t.co/6KEJQCIlPi abs were easily visible last year.siku hizi siendi Kazi kazi NI kukula na https://t.co/1CgVg08EPY 10weeks time ,i will have my body back