“Nimepita timu Nyingi Kubwa ila SIMBA kuna maisha sikuyatarajia.Wachezaji wazawa wanaamini katika ushirikina kuliko Juhudi na kuathiri viwango vya wachezaji wa kigeni”~Fabrice Ngoma
Pale Ukoloni Nguo yyte yenye Logo ya Diadora as long as ni Nyekundu tu baaasi inakua ni sare ya Ukoloni regardless logo zingine zitatangaza nini kwa faida ya nani.