Fedha za kigeni (FOREX) Hapa Nchini na Africa mashariki kiujumla, Itatoa Mafunzo kwa ($15USD) /TSH 30,000/= Tu. Ikiamini kupitia punguzo hili itagusa watu na kufungua Milango mingine ya kipato kupitia biashara hii, Mafunzo yata kuwa kwa muda wa Mwezi mmoja huku ukipata uwangalizi
AFTER PANDEMIC ONLINE FOREX TRAINING.
Kupitia kipindi kigumu ambacho kili athiri uchumi Karibia Dunia nzima cha CORONA (COVID 19) @255MILLIONAIRESFX pamoja na Team yake nzima ambayo imekuwa Ikiongoza gurudumu la kutoa Mafunzo na Huduma bora katika Biashara ya Kuuza na kununua
32% growth for the previous 3 months. All linked accounts are safe with maximal drawdown of 15% for the previous 80 days of trading.
255MillionairesFx Autotrading Service.
#255MillionairesFx#forextanzania#FinancialMarkets
Autotrading, Weekly bundle pips and Atomic X strategy are the future of Forex Trading in Tanzania.All three of them are our products and they just doing fine on Market.@255millionaire2
11th May 2019, We will be giving community what so called sensitive information about Financial Markets especially Forex and CFD, for FREE
Save the date.
cc:@ChengulaElisha@bmm_moneymotto
Usipofanya risk management siku yako inakuja, siku ya kupoteza kila kitu, profit uliyoitengeneza mwezi au miezi yote inachukuliwa na hasara ya siku moja au mbili. It sounds sad ee?
FANYA RISK MANAGEMENT
#ForexTanzania#ForexTz
Forex Market ni Market inayoongoza kuwa na manipulation kwasababu ya volatility kubwa,liquidity kubwa na uwepo wa Market Makers
Market Makers ni hatari zaidi kwa newbies na retailer traders inabidi uwaelewe kabla hujaanza kutrade wanambinu za kuchukua stopploss yako
#ForexTZ
Kama wewe sio scalper alafu pips 30-50 against zinachoma account yako kaa chini tengeneza Trading plan badilisha risking factor yako na margin management
#ForexTanzania#ForexTZ#stocktz
fact ya ukweli kuhusu Forex traders waliofanikiwa duniani ni kwamba wanaingiza asilimia ndogo ya mtaji wao kila mwezi,hii inawatengenezea uhakika na ujasiri wakutengeneza faida kila mara, mwaka mzima na miaka #consistency#ForexTanzania#Tz