@MariaSTsehai Nchi gani USA na wapambe wake wamemuondosha kiongozi wake na ikawa huru zaidi ya Kuwaibia rasilimali zao na kuuwq watu wasio na hatia, alieuliwq alikuwa dictator kivp wakati wana uchaguzi huru, au uchovu wa kujua mambo tu.
@MariaSTsehai Wakati mwengine najiuliza ni siasa, ujinga, ulimbukeni, au ushamba wa kujua usability wa meli unavyokuwa kwahio meli ikipeperusha bendera ya nchi fulani na kukatwa nchi za mbali basi ile nchi iliyosqjilowa meli hio serekali yake ndio inafanya makosa hayo ?
@nyuki_malkia Warabu wakiwajengea hospitali na shule Kila walipoishi, na wazungu walikuuweni kwa ukane na utunwa zaidi huko Tanganyika.
Maeneo walioshi warabu hayana maendeleo kwa sababu ya mfumo wa kibaguzi kwasababu Maeneo hayo yanakaliwa na waisilamu wengi.
BELGIUM ORDERED TO PAY FOR CONGO CHILD https://t.co/B4llsEE8lv a landmark decision, Belgiumโs court of appeal recently declared that the systematic kidnapping of mixed-race children from their African mothers in the Belgian-controlled territories of Congo, Rwanda and Burundi.
@HabariDigital_ Anajua tunayopitia wazanzibari au anataka muungano tu?
Tanganyika ivunje muungano na Zanzibar insane na Kenya na Uganda huo ndio muuunawafaa sio na Zanzibar.