@polo_kimanii Kuna kasmall town nakuru county called kabazi town on your way to Nyahururu from Nakuru πkanisa ni 500 na clubs ni almost the same ,hakuna nyumba za kurent unapata mkikuyu weekdays anatumia hiyo room kufuga kuku then Sunday inageuzwa kuwa kanisa ππ