Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Bi. Fatma Omar Latu pamoja na dereva wake kilichotokea tarehe 14 Septemba kwa ajali ya gari mkoani Mbeya. Mungu azilaze roho zao mahala pema Peponi. Amin.
WATU KAMA HAWA WAPO KATIKA JAMII YETU WAKO RADHI WAZURUNGE MAMBO YE AJALI LOLOTE LITOKEALO KWAKE ILI IMRADI WENZAKE WAARIBIKIWE KWAKW INATOSHA KUFURAHI