Watanzania naomba muondoe hii mentality kuwa kifo cha Samia kitabadili uonevu, uuaji au ukosaji haki.
Samia is nothing but a puppet of the CCM oppression. Samia akifa leo atakaeshika nchi ni Nchimbi ambae nae kaekwa hapo na Kikwete kwa nguvu, Samia hakumtaka Nchimbi hata kidogo kama mgombea mwenza ni Kikwete ndio kamukwe nchi hapo kwa hiyo hata Samia afe mziki ni ule ule.
Samia hakuingia barabarani na kupiga watu risasi, ni system ya CCM ndio iliingia barabarani na kuua Watanzania.
The only reason CCM ilikuwa haijaua watu bara ni sababu tulikuwa hatujawahi kuandamana.
Mkitaka kuamini nachosema, Zanzibar walipoandamana CCM chini ya Mkapa iliwaua kama mbwa koko. Nachojaribu kusema ni kwamba tatizo sio Rais alieko madarakani, tatizo ni chama cha CCM hakitaki kutoka madarakani.
Matter of fact ushindi wetu utapatakana kama wananchi tukibadilisha mindset badala ya kumchukia Samia tuichukie CCM na vita yetu iwe dhidi ya CCM. Ni lazma Watanzania tuungane kuingamiza CCM na sio ku target mtu mmoja mmoja ndani ya CCM.
Haujalishi Rais ni nani as long as chama chake ni CCM ataua tu kama jinsi tuliona kwa Mkapa na sasa tumeona kwa Samia.
Tusimpe Samia umuhimu tunaompa. Tupeleke nguvu kupambana na CCM
Two lesbians in a relationship, one of them will force herself to act like a man.
Two gays in a relationship, one of them will force himself to act like a woman.
This is nothing short of mental illness
Robert Ssentamu Kyagulanyi (@HEBobiwine), baada ya kumaliza kupiga kura yake, akarejea nyumbani kwake, jeshi la Uganda likaweka kambi kuzunguka makazi yake. Wakafunga tents kama kama oparesheni ya kijeshi. Wakazuia mtu yeyote kuingia au kutoka katika nyumba hiyo. Usiku wa leo, wamekata umeme eneo hilo, wamevunja electric fence wire, wakawavamia walinzi na kuwapiga na kuwakamata. Chopa ya jeshi imetua katika makazi hayo. Wamevunja milango na kumchukua Bobi Wine na mkewe, #BarbieKyagulanyi na kuondoka nao kusikojulikana. Yote hayo yanafanyika wakati DIKTETA @KagutaMuseveni amezima intaneti Uganda yote na anajitangaza kuongoza uchaguzi kwa zaidi ya 75%. MADIKTETA hawapendi kabisa uchaguzi. We′re living in a world similar to the one of slave trade. What was the purpose of the liberation? This oppression is worse than apartheid.
Watanzania, tupo pazuri na tunaelekea pazuri. Najaribu sana kutokuongea too much mambo ya background ila soon mtaona matokeo, cha msingi ni kwamba wooote nchi nzima tuwe focused, hakuna kurelax.