@mangekimambi Mi nakubaliana na wewe pia video za ngono si silaha za kumchapia adui.jiulize vipi sisiemu wakiamua kufanya hivyo kwa upande wa viongozi wa upinzani? Afu ngono kila mtu anafanya.
@wizara_elimuTz Kuna uharaka gani wa mitihani?
Kazi ya mitihani nini?
Muhimu ni nini kusoma zaidi au mitihani katika maandalizi hafifu?
Kwa nini iwe Before na si After?
Bila shaka ratiba ya masomo watakuwa hawajaikamilisha
Je wataendelea na masomo baada ya mitihani?
@mangekimambi Kitu kimoja ambacho @ChademaTZ2 lazima wakielewe wanaharakati kama @mangekimambi na @MariaSTsehai ndio media zinazoamika zaidi na wabongo walio wengi hata taarifa zao zikikosewa ni mara chache mno
@godbless_lema Sema ukiwa na nafasi ya juu ndani ya chama uangalie mambo ya kuzungumza ktk kipindi hiki ambacho watanzania wako na majonzi na hawajui wakufuta hayo majonzi na hawajui yataisha lini
@godbless_lema Umeandika mengi sana kitu ila kwa hiki ulichokifanya bora wangefanya vijana wadogo ila siyo wewe unaefahamu siasa za nchi hii hebu fikiria leo @godbless_lema mnapushi agenda moja na hapi na bado hujastuka nazidi kumwamini sana @mangekimambi aliyoyasema kuna wameshanunuliwa