🎵 Buy Your Favourite Music Online | Download On Your Device | Own It
Download Mansa by One The Incredible on Damaresi for Tsh 333.
https://t.co/SQ8H3K60Su
High Smoke ni mtayarishaji ambaye amehusika kwa kiasi kwenye ujenzi wa Album mpya ya Watengwa.
Hapa anatuelezea namna anawafahamu Watengwa na influence yao kwenye tasnia.
anawafahamu Watengwa.
#fullilebaraka#watengwa#walinziwahiphop#watengwamiakamingi#WTC
Unawakumbuka MAJERUHI? Ni kundi lililoundwa na Rappers Fredy Lu,Tics na Simon Fees(Rapa/DJ/Producer) wakiwa na studio yao iliyojulikana kama I.C.U
Leo tupo na Simon Madege a.k.a Simon Fees ambaye ameshiriki kama mtayarishaji kwenye miradi kadhaa ya WATENGWA ikiwemo album ya 1/2