Of what seems to be their main goal
The want for power and control
Because egotism and greed
Are and will forever remain
Humanity's main enemies
This world's greatest threat
Because as long as we accept
Silently and complacently
Our present times๐๐พ๐๐พ
Alfajiri Jogoo linapowika na adhana inapolia ni ishara ya kutukumbusha kuwa tumeamka tukiwa salama kwa uweza wa Mwenyezi Mungu hivo siku yetu inapaswa kuanza kwa kumtanguliza yeye.
Mapambano yetu yakazae matunda hakuna kukata tamaa kwa kuwa tunayo zawadi ya uhai.
Good Morning Wagonga Ulimbo๐
Wanangu Boda Boda tukaendeshe kwa kuzingatia usalama na Mungu atusaidie
Basi kuna hotel moja huku mbweni nmekutana na lugumi akaniona akasema wow Rahma hi, and i was like woooah tajiri lugumi umenitambuaje?!
Akanambia aaah acha utani bhana i notice you from X we mtu mkubwa mama, basi nkacheka tukagonga nkamwambia haha we jamaa jau sana mbona sa hujibugi dm zangu
Linaanza kunidanganya eti mambo mengi, lugumi bhana afu mtu poa kichizi live๐
Anyways kanialika for dinner kesho kwake sjui kwanini hajachagua lunch ila anyways who am i to judge, itakua ubusy wa kazi mchana๐๐ซต
Sio kwa ubaya tujaribu kuijadili nadharia ya maisha mengine baada ya kufa maana kila dini ina namna yake inavoamini.
Ukienda kwa wahindu wana namna yao ya kuelezea maisha baada ya kufa ambayo ni tofauti kwa wakristo na waislamu.
Ukweli ni upi?? Je kuna maisha mengine baada ya kufa na kama yapo akina nani wapo sahihi katika hizi imani mbalimbali.
NO HATE, Mjadala huru