Familia ,nimehamia UFM (Azam Media) tangu 1st of May,nawakaribisha kufuatilia PGMS zangu kupitia 107.3 ,Mtaa107 saa 8 kamili hadi 10,pia nawasukia kipindi bora zaidi ya Classic ambacho kitawajia hivi karibuni,thnx kwa support zenu
@chapo255@Rydx_017@DullahTheking2@BabuBomba4
๐จ๐ฃ๏ธ | Burnley and Ex Manchester City player Kyle Walker, on Facing Arsenal: ๐ฃ
โPeople talk about Arsenal like theyโve already won the league ๐ Relax. Weโll remind them football isnโt played on Twitter. Arsenal only looks good when teams are scared of themโฆ Burnley wonโt beโ โ Kyle Walker ๐๐ฅถ
BRO TO BRO
Kuna huu Umri wa miaka 25 - 35+
Hiki kipindi ambacho unakutana mapambano makali zaidi, sio dhidi ya ulimwengu, bali dhidi yako Mwenyewe.
Huu ndio umri ambao unavunja mnyororo wa tabia zako za zamani na kuinuka, au unabaki kuwa mfungwa wa maisha yako ya nyuma
Kwa wanaume.
Ukiwe kwenye nafasi ya kumsaidia mwanaume mwenzako, fanya hivyo. Hii ni dunia ni ngumu, watu wanatembea na mizigo mikubwa, unachokiona kidogo, ni kikubwa kwa mwingine.