Hii ya leo kali..๐๐ Jamani nyie walimu wa Mazoezi mtakuja kuwauwa wanafunzi wenu.. Yaani kisa tu mtu haji Gym ndio mtafutane mpaka njiani..๐๐
Ucheke sasa Ingia JotiTv On YouTube Now.. https://t.co/U88qxdFeAD
Kuna mtu nimeona amesema miaka mitano ijayo, hawa wachezajo wote watakuwa wanancheza Ulaya, isipokuwa hao Watanzania wanne.
Hii kauli ina ukweli, ambapo kwa sehemu kubwa sisi ndiyo sababu, lakini pia wanaotafuta vipaji mara nyingi nao huangalia zaidi Afrika Magharibiki.
Kuna wakati maisha uliyonayo sasa ndiyo ilikuwa ndoto yako. Ulimwomba Mungu ufike hapo ulipo leo. Pamoja na kuendelea kupambana na maisha, pia tukumbuke kumshukuru.
Pichani ni Hayati Mwalimu Julius Nyerere akiwa ziarani nchini Urusi (wakati huo USSR), Oktoba 1969.
Miaka 57 baadaye, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anakuwa Rais wa pili wa Tanzania kufanya ziara Urusi.
@JotiOfficial Hawa watoto watachukua AFCON U17 na kututoa mkosi mkubwa uliotufunga mpira wetu
Baada ya hapo mwendo wa kutiririka tu mwanzo mwisho. Na Afrika watatukoma kubababeki
๐น๐ฟ HISTORY MADE! ๐น๐ฟ
Tanzania beat Egypt 4-3 on penalties after a goalless draw to qualify for their first ever #AFCONU17 final.
What a tournament this young Tanzanian side is having.
Fearless, talented and full of heart.
Congratulations, Tanzania! ๐น๐ฟโค๏ธ
#AfricanFootball