Malezi
Usasa wa wazazi ni ushamba unaoharibu afya/maisha ya watoto sana. Vitoto vinavaa miwani kwa sababu ya kucheza na simu za watu wazima muda wote na kutokula mbogamboga, muda wote chipsi mayai na soda. Vitoto vinakua na vitambi hata msingi havijamaliza
TUNAWAHARIBIA!
Huruma sio malezi
Hii ni Russia. Ndio maana hakuna mtu anafanya bullying kwa Mrusi popote pale duniani
Mfunze mwanao (especially wa kiume) michezo na hasa ya mapigano ili aweze kujitetea na kujilinda kwa sababu the world is fucked up really bad
Watoto
Kujifunza = mazoezi + furaha + ubunifu + malezi
Mwl @JoyceMwalimu alikua anatuonyesha ubunifu kwenye malezi na kujifunza watoto mpaka tunatamani tupeleke vitoto vyetu akae navyo siku nzima
Hiyo ni lazima China 🇨🇳. Tanzania 🇹🇿 tunaweza jifunza
Kocha Hemedi Morocco
TUNAOMBA UTUSAMEHE TICHA!
Yalichofanya haya makurupukaji yetu na yale mawanasiasa mabwege wa mpirani ni kukukosea sana heshima. Tena uliyojenga Stars kwa jasho na damu
Tafadhali Kocha tusamehe na rudi uokoe jahazi.
Taifa Stars imeshazama kina cha Nungwi!
Tanzania
Marufuku kuleta vibabu vya kigeni kuja kula mihela ya kustaafu Taifa Stars!
Kama lazima sana kugawa hela sasa ni muda wa watu wetu kuzitafuna. Tufanikiwe au laa. Zamu yao nao wale
Kuongozwa mpira toka wizarani ni upumbavu mkubwa kiutendaji. Mpira ujiendeshe wenyewe!
Lula challenges wealthy nations over 200 years of pollution
"Are you going to pay the debt you owe to the planet? Because if you don't, you have no moral authority to hold China accountable."
@KennedyMmari Ug and Ke assemble electric buses while Tz has the largest and still expanding BRT network in its commercial capital - Dar es Salaam
Imagine when the Tanzanian truck assemblers decide to produce buses...