𝐋𝐄𝐆𝐄𝐍𝐃 𝐄𝐌𝐎𝐒𝐓𝐈𝐍𝐆 𝒏𝒅𝒂𝒏𝒊 𝒚𝒂 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐃𝐀𝐘 𝟐𝟎𝟐𝟔.
Mmoja wa wageni maalumu katika Simba Day 2026 atakuwa ni Legend Emmanuel Okwi. Siku kubwa ya kumuaga kwenye mpira kwa heshima anayostahili lakini pia akicheza mchezo wa kirafiki akiwa na jezi ya Simba SC. #SimbaWeek2026 #SimbaDay2026 #NguvuMoja
Bro to Bro.
Kama Una Chini Ya Miaka 40, Huu Ni Vakati Wa Kupanda Mbegu Za Maisha Yako.
Sasa Acha Kila Unachofanya Na Usome Huu Uzi.
Sheria 10 Zitakazobadilisha Maisha Yako.
A Thread:🧵
Bro to random stranger!!
Mara kwa mara naona watu waki slide DM na kuomba msaada wa kifedha au matibabu au ada za masomo na changamoto zingine!!
Lakini unakuta mtu huyo kwanza account yake iko private so unashindwa hata ku-access kujua ni nani na ukoje, hii inaweza kushindwa kum-convince mtu kukupa msaada!!
Au unakuta mtu anaomba msaada na account yake ina zero post, hana post hata moja, zero following, zero followers!!
Unakosa hata cha kurelate shida aliyokaambia na alivyo!!
Ni ngumu kumsaidia Ghost, kwasababu huyo unayemuomba msaada nayeye ana shida zake pia nyingi, so unahitaji umshawishi zaidi aone yako ina tija!!
Ni ngumu kusaidia parody!!
Au mtu anajiita Cheguavara sijui Mislishax Melanin, Picha profile kaweka ya Chegu/Bob Marley/Rihana with a zero post!!
Unaweza ukakosa msaada kwa kitu kidogo sana!!
Ndoa sio safari ya raha tu. Ndio maana unapotaka kuchagua mke, kuna sifa muhimu zaidi kuliko uzuri au mvuto wa mwili..
Chagua mwanamke anayeelewa kuwa changamoto ni sehemu ya maisha.
Mwenye subira ya kubaki hata ukipitia nyakati zako ngumu.
Pia Muoe mwanamke anayekuamini.
Hii excuse ya kusemaga kila mtu ana mapungufu yake, hakuna mwanadamu aliyekamilika!!
Mimi kiukweli naipingaga sana!!
Kwasababu mapungufu mengi huwa ni ya makusudi!!
Yani unaua makusudi, unaiba makusudi
halafu unakuja kusema kila mwanadamu ana mapungufu yake!!
Then kesho unaendelea tena unarudia unaua tena…….Aaaah sio kweli!!
TOP 60 ALL SONGS OF LUCKY DUBE🎵🎶🎼🎻🎺🎸🔥📌.
📌Bookmark
●WHICH SONG DO YOU LIKE THE MOST👇👇
1. Lucky Dube - Remember Me
2.Lucky Dube - Prisoner
3. Lucky Dube - Slave
4. Lucky Dube - It's Not Easy
5. Lucky Dube - I've Got You Baby
6.Lucky Dube - Mama
7. Lucky Dube - House of Exile
8. Lucky Dube - Together As One
9.Lucky Dube - Back to My Roots
10.Lucky Dube - The Way It Is
11. Lucky Dube - Victims
12.Lucky Dube - Reggae Strong
13. Lucky Dube - Hold On
14. Lucky Dube - Crazy World
15. Lucky Dube - Different Colors / One People
16. Lucky Dube - How Will I Know
17. Lucky Dube - Don't Cry
18. Lucky Dube - Love Me (The Way I Am)
19. Lucky Dube - I Want To Know What Love Is
20.Lucky Dube - Release Me
21. Lucky Dube - God bless the women
22. Lucky Dube - Oh my son (I'm sorry)
23. Lucky Dube - Kiss No Frog
24.Lucky Dube - Romeo
25. Lucky Dube - Truth In The World
26. Lucky Dube - You Stand Alone
27. Lucky Dube - War and Crime
28. Lucky Dube - Ding Ding Licky Licky Licky Bong
29.Lucky Dube - Feel Irie
30.Lucky Dube - Guns & Roses
31. Lucky Dube - The One
32. Lucky Dube - Good Girl
33. Lucky Dube - The Hand That Giveth
34. Lucky Dube - Fugitive
35. Lucky Dube - I've got Jah
36.Lucky Dube - The Other Side
37.Lucky Dube - Respect
38.Lucky Dube - Teach the World
39.Lucky Dube - Good Things
40.Lucky Dube - Born to Suffer
41. Lucky Dube - Can't Blame You
42. Lucky Dube - My Brother, My Enemy
43.Lucky Dube - Affirmative Action
44.Lucky Dube - Jah Live
45.Lucky Dube - Usizi
46.Lucky Dube - Group Areas Act
47.Lucky Dube - Celebrate Life
48.Lucky Dube - Changing World
49.Lucky Dube - Is This the Way
50.Lucky Dube - Mirror Mirror
51. Lucky Dube - Peace, Perfect Peace
52.Lucky Dube - Rasta Man's Prayer
53.Lucky Dube - Rastas Never Dies
54.Lucky Dube - Reap What You Sow
55.Lucky Dube - Shembe Is The Way
56.Lucky Dube - Steel Bars
57.Lucky Dube - Till You Lose It All
58.Lucky Dube - You've got a friend
59.Lucky Dube - Crime and Corruption
60.Lucky Dube - False Prophets
61.Lucky Dube - Running, Falling
62.Lucky Dube - Taxman
Huwezi mkuta amekuwa mtu mzima anaona upendo ni cofee, dinner na kupelekwa kwenye air bnb,..kila mwanaume utaona anakuchezea b'coz atakuvumilia hadi ale tunda halafu atataka kusepa sio kwamb hakukupenda ila wewe demand zako ni za wastaafu sio vijana wanaojipanga..
Goodmorning 🇹🇿
Hatimaye ndugu yetu @fbuyobe ameachiwa kwa dhamana jioni hii katika kituo cha Polisi Chang’ombe.
Mungu awabariki sana wote mliopaza sauti kwa ajili yake.🙏🏻
European MPs have voted to block funding to Tanzania and to consider sanctions against powerful people behind human rights violations.
Our latest report on CNN keeps the international spotlight on Tanzania