MTUNGI WA OXYGEN wa Hospital Mtu mmoja anatumia 1 na ½ kwa siku,
Mtungi mmoja = 50,000.
kwahiyo matumizi yako yapo hivi
75,000 kwa siku
525,000 wiki
2,250,000 mwezi
27,375,000 kwa mwaka
🙏2025🙏
NAMSHUKURU MUNGU ANIPAE PUMZI BURE
@Dr_DGwajima Duhh,, Hapo ni kuanza kufanya ionekane kama vile Mwijaku uyu Maarufu anahusika kwa namna fulan while ni jina tu limetumika, na upande wa pili ni kumharibia Mwijaku Kazi zake
@TunduALissu Kwan kuna ktu ambacho siyo Biashara?? Umeanza kwa mshangao wa kishamba!! Anyway ilo swal la mwsho lina mantik, but huo mshangao et n Biashara umeshangaa kishamba
Be urself, kuishi kwa kuwatzama watu wanasemaje au wanakuchukuliaje, unafel sana kwasabb ww n MTUMWA WAO,, Haujiishi ila unawaishi wao @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/DED6bnqSZq
@OfficialAliKiba @BoomplayMusicTZ Nilpomtumia Bby wangu huu wimbo usku ule,, alinambia ALIKIBA n msanii namba moja Dunian ,,, then akantumia maKopa ad yakanlevya vle ulvosema💝💝💝💝💝💝