@11Dnvr @hilary_js No freedom bila support ya jeshi mjue hilo....oct 29....jeshi walitoa ushirikiano japo dk chache moto mliuona lakin bila wao nothing tusidanganyane
@ayubu_madenge Shida naiona marekani akipigana hakai nchini kwake anakaa nchi za watu zinaharibiwa watu wao wanakufa, why iran isipihe direct marekani???
MAMAE WALAHI WANANGU GEN Z HIZI SASA SIFA🔥🥳🥳
MNATAKA WALIOMFUNGA JELA BABA YETU TUNDU LISSU WAJIONE WAPUMBAVU HAWANA AKILI.🤣
WALIJUA WAKIMFUNGA BABA JELA KWA SIKU 270 TUTAMSAHAU WANASHANGAA GEN Z NDIO KWANZA WAMEAMUA KUFUNGA MWAKA NA LISSU.
OYA MWAGA MOTO MAMAE KAMA MADRAGON🔥🔥🔥🔥
NAMBA ZA KUTUMA MCHANGO WAKO WA FUNGA MWAKA NA LISSU ZIPO HAPO KWENYE BANGO.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎
Nchi yetu imeshaharibika kiukweli sioni kiongozi kabisa
Nashaur watanzania tujitahid kwa namna yeyote tulinde amani bila mauaji au vita, jeshi naamini mnaweza kulinda bila kuua tutumie busara bila mabavu please 🙏