"Fursa na riziki anatoa Mungu lakini zinakuja kwetu kupitia kwa Watu. Watu wanaokuzunguka na unaokutana nao katika maisha wana mchango na nafasi ya kukusogezea na kukuunganisha na fursa na riziki. Wekeza kwa watu. Mtandao wa Watu na mahusiano mazuri ni Mtaji kama ilivyo fedha."
@ayubu_madenge Tamka kwa SAUTI KUBWA,kwamba Eng Heris amewazidi ujanja kwa misimu hii michache,Endeleeni kujifariji kupitia wale wataka tickets π« za Ndege