There are things your wife can do to you or for you,and you will lack sleep trying to figure out how she came to such a decision. Mimi Siku niliingia kwa hii nyumba nikapata bibi amenunua apron mbili ati ya kuvaa tukilala,yake ya tiger na yangu ya sungura iko na kamkia apa nyuma,hapa ndio nilijua nimelegeza uongozi wa ufalme wangu. Nilijiuliza maswali mingi sana. Do you know how low your wife must think of you to decide to do such a thing? Hiyo ni kumaanisha amekaa chini akafikiria na akaona mzee yangu ni nugu,yani ni mtu useless
Bwana apa sasa ndio niliangalia namna hii nikaona nisipokaa ngangari,apa watanigongea. Juu akuna heshima. Sasa si lazima nifanye ile tunaita asserting dominance. Nyumba nikaanza kuingia na somaset, kama Recce squad. Saa mbili ilikua inafika wanasongesa curtain, na mlango inafunguliwa wazi,mzee anaweza ingia any time. Tukimaliza kukula tunasimama tunaimba national anthem of East africa. Tunakaa chini sasa kuona TV. Kabla tulale naingia ceiling,napiga mabati heady,nateremka.
Niliuza uwoga hii nyumba miezi tatu mfululizo. Mwezi ya nne bibi nakwambia alikua ameingia line. Usiku ata akienda choo kukojoa,lasima aniombe ruhusa. “my husband,can i please go to the toilet?” Namwambia Yes susan,and hurry up. Weh! Bwana this thing called masculinity they will never teach you in unifasti