🎓 Int'l Relations | 🎭 Entertainer with a serious side | 💛 YANGA | ❤️ Man U | 🤍 Real Madrid.
🚀 Utopian vibes | 🔍 Observing the world one tweet at a time
"TAJIRI LA KIKUMA" hata hajui sababu za mimi kutekwa ila anaandika uzi mrefu kutaka kujua kwanini nipo CHADEMA.
"TAJIRI LA KIKUMA" Hata hajui watu gani walikuja kunitembelea pale hospitali MPANDA na kuweka mlinzi wa chama siku zote ila anaandika uzi mrefu kwanini nipo CHADEMA.
"TAJIRI LA KIKUMA" hajui hata nilipofikishwa DAR ni watu gani walinipambania mimi kutoka mikononi mwa HOSPITALI YA WAUWAJI kuenda hospitali salama ila anaandika uzi mrefu kwanini nipo CHADEMA.
kiufupi sana mimi nipo CHADEMA kwasababu naipenda HAKI NA WAPENDA HAKI walinipigania wakati nimenyang'anywa haki zangu za kuishi.
Endelea kuumizwa na SIR TIVA kutokea kabatini na HUJI KUTOKA mkundu wewe. Uliahidi utanipoteza X unashangaa unapotea wewe, unarudi siku ukiniongelea mimi.
NAITWA SATIVA CHUMA KUTOKA MBEYA SINA UCHOTARA NI MNYAKYUSA HALISI KUMA WEWE.
Salamu za Shukrani kwa Rais wa Mpira , Said Hersi na menejiment yote ya Timu yetu pendwa ya Yanga kwa kuniamini na kuniona nami ninafaa kuwa sehemu ya wasimamizi wa Msingi hii. Historia ya Timu yetu inanipa faraja ya kujiona miongoni mwa Watanzania wachache wenye bahati kukaa karibu na Mama Karume, Capt. (mst) George Huruma Mkuchika, Cde. Anthony Mavunde, na cde. Abbas Tarimba. Ninawashukuru kwa imani kubwa na tutatimiza wajibu wetu. #MwakaniTena #YangaBingwa