@kaka_Living@mananajr_ Kutokea kisarawe kuja mloganzila ipo ila ni mbovu kishenz kila mwaka wanaichonga wameshindwa kuipiga rami
Kipind cha magu ilisha jadiliwa hadi bungeni na bajeti ikatengwa wahuni wakapita nayo mpk kesho
@makuruAsnee @MariaSTsehai Bi mdashi sijui anawazaga kwa kutumia nn mda mwingine Yan kitengo muhimu kama TISS anakiita civilian aisee dharau sana amefanya