Arusha Women Legal Aid & Human Rights Organization harness access to justice, socioeconomic empowerment & advocating for gender responsive for women & children
Farmers day (Nane Nane day) which was held from the 1st of August till the 8th of August. AWLAHURIO Arusha provides legal aid and legal education at the Nane Nane grounds.
Mahakama kuu ya Arusha, imetoa cheti cha Appreciation kwa AWLAHURIO ARUSHA kwa ushiriki na uwajibikaji Katika wiki ya sheria. Shughuli mbalimbali kwa kutoa msaada wa kisheria, elimu kwa njia ya radio, Mashuleni ya na kutembelea retention home kwa watoto waliokinzana na sheria.
Katika kuadhimisha kilele cha wiki.ya.sheria tarehe 02/02/2023 AWLAHURIO wakiwa na wadau wengine wa sheria walipata picha ya pamoja akiwemo judge incharge pamoja (aliyekaa katikati) na majaji wengine wa mahakama kuu kanda ya Arusha.

Tarehe 27/02/2023, Katika wiki ya sheria, AWLAHURIO Arusha pamoja na wadau wengine wa sheria tumekwenda retention home kuwasikiliza na kuwapa zawadi watoto waliokinzana na sheria
Katika wiki ya sheria, AWLAHURIO Arusha imeendelea kutoa msaada wa kisheria katika viwanja vya TBA Arusha.
//
During the law week, AWLAHURIO Arusha has continued to provide support in TBA Arusha stadiums