Denis Onyango pale Mamelod Sundowns hana nafasi kabisa,ila kwa experience na ubora wake still anaendlea kuitwa na kuwa chaguo la Kwanza labtimu ya Taifa ya Uganda (SI WOTE MNAONA HIYO PERFORMANCE LEP)
Hapa bongo hakuna namna hii national team MANULA asiitwe tuache ujuaji
๐จ๐น๐ฟGoli walilopata Taifa stars huwenda kikawa limebadilisha mtazamo wa mchezo mzima,ila kwakweli kwa hichi kipindi cha Kwanza nafikiri Alphonse Mabula, Abdul Sopu na Nathaniel chilambo ndo wachezaji pekee ambao walikuwa uwanjani kwa upande wa Tanzania
Kuna jamaa anaitwa Mzee wa Majamvi pale Instagram
Yule mshkaji ana odds za kunyooka Sana, of course huwa ana loose sometimes but mshkaji ni Mtaalam wa hizi kazi big time
Hizi takwimu kwa Taifa stars sidhani kama tushawahi kuwa nazo kwenye mechi yoyote tangu niijue hii timu
Sehemu ya kuimprove ni juu ya matumizi ya chances (na half chances) tu kule mbele otherwise we're good
Natamani siku niitizame stars ikiwa inaongoza, je wataendelea kupush au gameplan inabadilika? Kwa leo NIMEPENDA
Hii mechi kama hujaangalia BANDA UMIZA, ua kama HUJABETI ni bonge moja la match otherwise poleni ๐
๐จ๐น๐ฟ Sometimes kucheza national team sio kujua tu pekee,kuna mda tunahitaji uzoefu
Foba anastruggle hata kwenye Kucommand backline yake(makosa yanayofanywa na Mabeki wa Taifa stars kama kungekuwa na goalkeeper ambaye anaweza kuzungumza ingesaidia zaidi, sometimes mabeki wanahitaji sauti ya goalkeeper ili kuwafamya wawe active wakati wote)
Experience matters
๐จ๐น๐ฟBaada ya miaka mingi kupita sasa naweza kuangalia mechi ya Taifa stars kwa dakika 90 bila kujalisha matokeo
Baada ya miaka mingi kupita sasa naiona Taifa stars ambayo inacheza kwa muundo maalum na system ya timu inaonekana na hata subs zikifanyika unaona impact
Baada ya miaka mingi sasahivi nashuhudia Taifa stars ikitengeneza chance after chance (japo kwenye finishing pafanyiwe kazi)
GAMONDI you're about to change my life
Unfair, SANDALAND amedhurumiwa, Kumbuka jezi ziwe nzuri au mbaya yeye ndo anapata hasara na sio Taifa maana pesa zote alishalipa kimkataba
Leo hii hili analofanyiwa ni dhuruma ya wazi
๐จ๐น๐ฟ Absence ya Bin Zady kumefanya Azam FC kukosa majibu sahihi juu ya nani wa kucover nafasi yake
Midfield ya Azam FC leo ilikuwa very open,kuna namna Simba walistuka second half wakaexploit madhaifu hayo
NB.....Last season Aziz Ki alitoka kufunga ndoa na Hamisa na akatwanga mechi fresh tu ๐
๐จ๐ฌ๐ณ ๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐: Guinea head coach Paulo Duarte has unveiled his squad of 25 players for the first two rounds of the AFCON 2027 qualifiers๐ฌ๐ณ
Moriba returns to the national team, while Moussa "PinPin" Camara, Naby Keรฏta, Issiaga Sylla, Mady Camara and Bayo are among the notable absentees
The Syli National now prepare for the opening two matches of their AFCON 2027 qualifying campaign.
#FootballOfAfrica #MkadimbaJnrNews #WeUniteAfrica