What a fucking player Valverde is. Absolute monster running for 120 minutes non stop while playing incredibly good.
ππ« ππ¨π§π¬π’π¬πππ§π πΊπΎ
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amewaagiza Watalaamu wa Wizara ya Fedha na Mipango na ujumbe kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kujadili namna ya kushughulikia athari za upungufu wa dola za Kimarekani katika mzunguko wa fedha ili kunusuru uchumi wa Nchi zinazoendelea.
Dkt. Nchemba, ametoa maagizo hayo wakati wa kufungua kikao kilichowashirikisha Wataalamu kutoka Shirika la Fedha na Kimataifa (IMF) waliowasili nchini kwa ajili ya kufanya tathimini ya Program ya Huduma za Mikopo (EFC), kwa kushirikiana na Wataalamu wa ndani wa Serikali.
Amesema mabadiliko ya Sera za Fedha nchini Marekani ya kubana matumzi na kupunguza dola kwenye mzunguko wa fedha, yameleta athari zinazoonekana mpaka kwenye nchi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania.
βTumekuwa tukirejea Covid 19 na vita baina ya Urusi na Ukraine kama moja ya vitu vinavyoathiri uchumi wa Nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania lakini upungufu wa dola unaathiri uchumi kwa kiwango kikubwa ikiwemo uagizaji wa mafuta na uagizwaji wa bidhaa mbalimbali zinazotumika katika shughuli za Sekta binafsiβ
#MillardAyoUPDATES
MR. PRESIDENT ENG. HERSI LIVE ON GOODMORNING , KESHO JUNE 05 β½οΈ .
Unapozungumzia Furaha, Mafanikio na Utawala Wa @yangasc1935 Barani Afrika Kwasasa, Huwezi Kulikwepa Jina La Engineer Wa Mafanikio Hayo Mr. President @Caamil8
Kesho Kwenye #GoodMorningYaWananchi atazungumza ! Na Kuliongoza Jeshi Kubwa La Wananchi Kusheherekea Mafanikio Ya Timu Yao .
Kuanzia Saa 11 Alfajiri , LIVE ON @wasafifm@wasafitv & YouTube #WasafiMedia .
#GoodMorningYaWananchi