Africa Live is an event-based company which deals with branding, advertisements and entertainment. Follow us on our social media platforms @Africalive001 for more information. #AfricaLive
@TV47KE Dunia ni kama bahari iliyogawanyika kuwili. Ipo dunia ya visa, mikasa na vibwanga na aidha ipo dunia ya raha, mahaba na ufanisi. Kila kukicha, binadamu huvuka kutoka dunia moja hadi nyingine. Haya ndiyo masimulizi ya dunia ya pili.